Afrika
Treni ya ushirikiano wa kikanda yafunga safari kutoka Djibouti hadi Addis Ababa
Safari ya kwanza ya reli ya abiria kwa minajili ya kuinua uhusiano kati ya mataifa ya ukanda wa Afrika Mashariki na kati kwa jumla, imeng’oa nanga kuanzia Djibouti hadi Ethiopia ikiongozwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Kiserikali ya Kikanda, IGAD
Maarufu
Makala maarufu