Ulimwengu
Watoto milioni 67 walikosa chanjo kutokana na changamoto ya Uviko-19: UNICEF
Takwimu mpya za Umoja wa Mataifa zilifichua kuwa sehemu ya watoto waliopata chanjo ilipungua kwa asilimia tano hadi asilimia 81 wakati wa janga hilo, huku imani katika chanjo za watoto ikipungua kwa asilimia 44 katika baadhi ya nchi.
Maarufu
Makala maarufu