Afrika
Uganda ilijiunga na BRICS kujikinga na vikwazo
Okello Oryem, Waziri wa Nchi Uganda alielezea kuwa Uganda ililazimika kujiunga na Muungano wa BRICS kutokana na mabadiliko ya mpangilio wa dunia ambapo Marekani na Umoja wa Ulaya zimekuwa zikiweka vikwazo kwa mataifa huku zikikiuka masuala hayo hayo.Afrika
Afrika Kusini: Mkutano wa muungano wa BRICS wa nchi zinazoimarika kiuchumi waanza
Mkutano huo, wenye Kauli mbiu ya "BRICS na Afrika" na unajiri wakati bara hilo linaibuka kuwa uwanja mpya wa mapambano ya kidiplomasia huku Marekani, Urusi na China zikipigania ushawishi wa kiuchumi na kidiplomasia
Maarufu
Makala maarufu