Afrika
Maamuzi ya Moderna yakihuzunisha Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Barani Afrika
Baada ya kampuni ya Moderna kusema kuwa hakitojenga kiwanda cha chanjo nchini Kenya, Africa CDC imesema kuwa hatua hiyo inaonesha dhamira ya Moderna kushindwa kufikia upatikanaji wa chanjo kwa wote kupitia utengenezaji wa viwanda barani Afrika.
Maarufu
Makala maarufu