Michezo
Arteta atetea mbinu zake za ulinzi kwenye mechi kali dhidi ya Man City
Mikel Arteta ametetea mbinu zake za kuweka ngome ya hali ya juu Arsenal katika mchuano wao wa uhasimu wa Ligi kuu ya Premier dhidi ya Manchester City, akisema angekuwa "mjinga" asingejifunza kutoka kwa mechi za hapo awali.Uchambuzi
'Sisi wengi tunabaki ndani ya nyumba': Waafrika wanakabiliana na hofu nchini Uingereza
Maisha nchini Uingereza yamebadilika kwa wahamiaji wa Kiafrika huku ghasia zinazochochewa na taarifa potofu zinazosambazwa na makundi ya mrengo wa kulia yanayofuata ajenda ya ubaguzi na chuki dhidi ya Uislamu ikiwaacha hatarini zaidi na kukosa amani
Maarufu
Makala maarufu