Afrika
Marais wa Misri na Somalia wapo Eritrea kwa majadiliano
Mazungumzo hayo yalifanyika huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kufuatia kutiwa saini Januari 1, 2024, kwa Mkataba wa Maelewano kati ya Ethiopia na Somaliland, ambao unalenga kuipa Ethiopia fursa ya baharini na kutambuliwa kwa Somaliland kama taifa.
Maarufu
Makala maarufu