Michezo
Simba tayari kunguruma Misri dimba la Africa Football League dhidi ya Al-Ahly ugenini
Baada ya Simba kudumisha rekodi ya kutofungwa na Al Ahly nyumbani katika uwanja wa Benjamin Mkapa, soka la Afrika linahamia Misri huku Mashabiki wa Simba, wakijawa na hamasa za kuendeleza ubabe dhidi ya Mafarao Al-Ahly ugenini.Michezo
Simba kuchuana na miamba bora barani Afrika huku CAF ikitangaza African Football League
Sherehe ya Ufunguzi na mechi ya kwanza zitafanyika tarehe 20 Oktoba 2023 jijini Dar es Saalam, Tanzania. Vilabu vilivyoorodheshwa zaidi vya mpira barani Afrika vitachuana katika shindano hilo jipya la kusisimua la Ligi ya Soka ya Afrika (AFL)
Maarufu
Makala maarufu