Afrika
IGAD yahofia Sudan Kusini kutokuwa tayari kwa uchaguzi wa Disemba
Tume ya Pamoja ya Ufuatiliaji na Tathmini ya Sudan Kusini, JMEC, inasema ikiwa imesalia takriban miezi saba kabla ya kufanyika kwa uchaguzi uliopangwa nchini Sudan Kusini, bado hakuna ushahidi wa maandalizi ya kutosha kwa ajili ya zoezi hilo.
Maarufu
Makala maarufu