Türkiye
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki na mwenzake wa Marekani wajadili pendekezo la kusitisha mashambulizi dhidi ya Gaza
Mwanadiplomasia mkuu wa Uturuki Hakan Fidan na Waziri wa Mambo ya Nje wa MarekanI Antony Blinken wamefanya maongezi ya simu kuhusu pendekezo la Hamas la kusitisha mashambulizi.
Maarufu
Makala maarufu