Afrika
Jinsi ulimwengu ulivyogundua tena mji wa Timbuktu nchini Mali
Kufufuliwa kwa Tamasha la Jangwa kumerejesha watalii wa kimataifa mjini Timbuktu, wakiwapa safari ya kipekee ndani ya tanuri hili la utamaduni, historia, na ukarimu ambao hapo awali uliathiriwa na hadithi za uwongo na misukosuko ya wanamgambo.Türkiye
Juhudi za amani Gaza 'kutozaa matunda' kutokana na Marekani, asema Erdogan
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yameingia siku ya 132 na kuua wapalestina 28,663 na kujeruhi wengine 68,395 huku majeshi ya Israel yakishurutisha raia wa Palestina waliochukua hifadhi katika hospitali ya Nasser kuondoka mara moja.Maoni
Tabia za ubaguzi miongoni mwa watu wa Morocco na Algeria licha ya kuwa na historia moja
Mataifa ya Morocco na Algeria yana mfanano mkubwa hasa wa kidesturi lakini pia tabia za kuwarudisha nyuma vilevile ni sawia miongoni mwa watu wa mataifa hayo; kiasi kwamba utofauti wao ni kiwango cha tabia hizo na wala sio wa kiasili.
Maarufu
Makala maarufu