Ulimwengu
Meta yaondoa filamu ya TRT Arabi kuhusu mauaji ya Israel ya waandishi wa habari
Filamu ya Televisheni ya Uturuki ya "Uandishi wa Habari Chini ya Mauaji ya Kimbari," ambayo inafichua uhalifu wa kijeshi wa Israel dhidi ya waandishi wa habari, ilifutwa kwenye Facebook, na kuzua utata kuhusu sera za Meta.Biashara
Idadi ya watumiaji wa WhatsApp Business imeongezeka mara nne katika kipindi cha miaka mitatu
WhatsApp Business ya Meta Platforms' (META.O) sasa inahudumia zaidi ya watumiaji milioni 200 kwenye jukwaa lake, ongezeko ya mara nne kutoka takribani miaka mitatu iliyopita, alisema Mkurugenzi Mkuu Mark Zuckerberg siku ya Jumanne.
Maarufu
Makala maarufu