Michezo
Timu za Afcon 2023 Kamili: Cameroon na Namibia wakamilisha jumla ya timu 24
Mabingwa mara 5 Cameroon na Namibia wamejiunga na timu 22 zilizofuzu awali ikiwemo wenyeji Cote D'ivoire na kukamilisha timu zitakazotua droo itakayofanyika Abidjan tarehe 12 Oktoba 2023 kabla ya kombe hilo litakalofanyika Januari mwaka ujao
Maarufu
Makala maarufu