Ulimwengu
Marekani yaitaka Israeli ipunguze mashambulizi dhidi ya Hezbollah ya Lebanon
Mashambulizi ya Israeli dhidi ya Gaza yameingia siku ya 259 yakiwa yameua Wapalestina 37,431, wengi wakiwa ni wanawake na watoto na kujeruhi 85,653, huku zaidi ya 10,000 wakihofiwa kuwa wamefunikwa na na vifusi vya nyumba zilizolipuliwa.Türkiye
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki na mwenzake wa Marekani wajadili pendekezo la kusitisha mashambulizi dhidi ya Gaza
Mwanadiplomasia mkuu wa Uturuki Hakan Fidan na Waziri wa Mambo ya Nje wa MarekanI Antony Blinken wamefanya maongezi ya simu kuhusu pendekezo la Hamas la kusitisha mashambulizi.
Maarufu
Makala maarufu