Ulimwengu
Hospitali za Gaza kusitisha huduma saa 48 zijazo, Wizara ya afya yasema
Mashambulizi ya Israeli dhidi ya Gaza yameingia siku ya 268, yakiwa yameua Wapalestina 37,877, wengi wakiwa ni wanawake na watoto, na kujeruhi wengine 86,969, huku zaidi ya 10,000 wakihofiwa kufunikwa na vifusi vya nyumba.Ulimwengu
Majeshi ya Israeli yauwa Wapalestina 17 na kuharibu mazao
Mashambulizi ya Israeli katika eneo la Gaza yameingia siku ya 267 yakiwa yameuwa Wapalestina takribani 37,834, wengi wakiwa ni wanawake na watoto na kujeruhi 86,858, huku zaidi ya watu 10,000 wakihofiwa kufunikwa na vifusi vya nyumba zilizobomoka.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu