Uchambuzi
Faruq: Kutoka maisha ya uhalifu hadi kuwa kocha wa mabingwa wa mchezo wa upanga wa Kenya
Faruq Mburu Wanyoike alikuwa na umri wa miaka tisa alipoingizwa kwenye uhalifu kabla ya kupata changamoto mpya maishani mwake, na kubadilisha maisha yake na kufanya mchezo wa upanga kuwa silaha yake ya mabadiliko
Maarufu
Makala maarufu