Türkiye
TEKNOFEST, tamasha la kwanza na la kipekee la teknolojia Uturuki, lakaribia kuanza, Izmir
Tamasha maarufu la TEKNOFEST, la anga na teknolojia linakaribia kuanza nchini Uturuki, huku likitarajiwa kufungua milango yake katika Uwanja wa Ndege wa Çiğli, mjini Izmir na kuwaleta pamoja wapenda sayansiTürkiye
Rais Erdogan awatangaza wasafiri wa kwanza wa safari ya anga ya Uturuki
Rubani wa kikosi cha anga cha Uturuki Alper Gezeravci atatumwa katika Kituo cha Kimataifa cha Anga cha Juu, huku Tuva Cihangir Atasever akichaguliwa kama msafiri wa akiba, Rais Erdogan anasema katika maonyesho ya Teknofest.
Maarufu
Makala maarufu