Michezo
Mtanzania Novatus Miroshi Dismas: Kutoka Azam hadi Ukraine kucheza UEFA Champions League
Mchezaji wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars Novatus Miroshi Dismas amejiunga na mabingwa wa Ukraine Shakhtar kutoka Zulte Waregem ya Ubelgiji huku timu hiyo ikiwa kundi moja na Barcelona, FC Porto na Antwerp Champions League
Maarufu
Makala maarufu