Türkiye
Idara ya kijasusi ya Uturuki yamkata makali mtu anayejiita afisa wa kundi la kigaidi la PKK
Shirika la Kitaifa la Ujasusi la Uturuki (MİT) limemkata makali Abdulhamit KAPAR, aliyefahamika kwa jina la Tekin Guyi, anayejiita Afisa Mkuu wa Taasisi za PKK, wakati wa operesheni iliyoendeshwa huko Qamishli, Syria.Türkiye
Uturuki 'yawakata makali' magaidi saba wa PKK/YPG, kaskazini mwa Iraq na Syria
Magaidi watatu 'walikatwa makali' katika maeneo ya Operesheni ya ngao ya Euphrates na Peace Spring kaskazini mwa Syria, wanne katika eneo la Operesheni Claw-Lock kaskazini mwa Iraq, kulingana na Wizara ya Ulinzi ya Uturuki.
Maarufu
Makala maarufu