Türkiye
UN yapongeza uongozi wa Uturuki katika vita vya kimataifa dhidi ya uchafuzi wa mazingira
Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kitengo cha Usalama Barabarani, Jean Henri Todt anasifu uongozi wa Uturuki katika vita vya kimataifa dhidi ya uchafuzi, akimpongeza Mke wa Rais, Emine kwa jukumu lake kuu katika Mradi wa Zero Waste
Maarufu
Makala maarufu