Afrika
Tanzania yapiga marufuku safari za Shirika la Ndege la Kenya kati ya Dar-Nairobi
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA imeamua kubadilisha safari za Shirika la Ndege la Kenya kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia tarehe 22 mwezi Januari. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Anga nchini Tanzania TCAA.
Maarufu
Makala maarufu