Ulimwengu
Marekani yaitaka Israeli ipunguze mashambulizi dhidi ya Hezbollah ya Lebanon
Mashambulizi ya Israeli dhidi ya Gaza yameingia siku ya 259 yakiwa yameua Wapalestina 37,431, wengi wakiwa ni wanawake na watoto na kujeruhi 85,653, huku zaidi ya 10,000 wakihofiwa kuwa wamefunikwa na na vifusi vya nyumba zilizolipuliwa.Ulimwengu
Yanayojiri: Netanyahu anatishia kuisambaratisha Lebanon ikiwa Hezbollah itajiunga na 'vita'
Kivuko cha mpaka kati ya Misri na Gaza kimefunguliwa kuruhusu misaada inayohitajika sana katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa huku Israeli ikiendelea kufyatua mabomu dhidi ya Gaza siku ya 16 ya vita.Ulimwengu
Fuatilia blogu: China inataka kuundwa kwa taifa la Palestina ili kumaliza migogoro
Israel imefanya mashambulizi ya anga katika eneo la Wapalestina lililozingirwa kufuatia Hamas kuvamia makazi haramu na miji iliyo karibu na uzio wa Gaza. Zaidi ya watu 500 wameuawa kwa pande zote mbili kufikia sasa.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu