Ulimwengu
Futari ya Biden yasusiwa... maandamano nje ya Ikulu ya White House
Mualiko wa futari wa Biden kusherehekea mwezi mtukufu wa Ramadhan wasusiwa, huku vikundi vya Waislamu vinasusia na kuandaa maandamano ya kupinga uungaji mkono wa Biden kwa kuzingirwa kwa Gaza na vita vya kikatili vya Israeli dhidi ya Gaza.Türkiye
Marekani inashikilia jukumu la kihistoria la kuhakikisha usitishaji vita wa kudumu: Erdogan
Kujiondoa kwa Washington kwa uungaji mkono wake bila masharti kwa Israeli kutahakikisha usitishaji wa haraka wa mapigano, Rais wa Uturuki Erdogan anasema, akisisitiza kwamba janga la kibinadamu huko Gaza lazima likomeshwe mara mojaBiashara
Biden aachia mapipa milioni 15 kutoka hifadhi ya mafuta baada ya OPEC+ kususia ugavi
Tangazo la Rais Biden kutoa mafuta kutoka hifadhi ya kitaifa linakuja baada ya mamluki wa Saudi Arabia kutangaza kwamba Riyadh inaegemea Moscow hivyo kuwapa vitisho vya dhidi ya maamuzi hayo ya kupunguza ugavi wa mapipa milioni 2 kwa siku.
Maarufu
Makala maarufu