Michezo
Simba tayari kunguruma Misri dimba la Africa Football League dhidi ya Al-Ahly ugenini
Baada ya Simba kudumisha rekodi ya kutofungwa na Al Ahly nyumbani katika uwanja wa Benjamin Mkapa, soka la Afrika linahamia Misri huku Mashabiki wa Simba, wakijawa na hamasa za kuendeleza ubabe dhidi ya Mafarao Al-Ahly ugenini.
Maarufu
Makala maarufu