Ulimwengu
Putin aomba radhi kwa Aliyev kwa mkasa wa ajali ya ndege ya Azerbaijan
Rais wa Azerbaijan Aliyev anamwambia Putin kwamba ndege ya abiria katika anga ya Urusi ilikabiliwa na uingiliaji mkubwa wa kimitambo na kiufundi, na kusababisha kushindwa kudhibiti na kuelekezwa mji wa Aktau wa Kazakhstan.Afrika
Jaji Marekani akataa ombi la Boeing kufanya makubaliano mapya
Baada ya ajali za Boeing, Ethiopia na Indonesia, waendesha mashtaka waliipa Boeing chaguo la kuwasilisha ombi la hatia na kulipa faini kama sehemu ya hukumu yake na Boeing ikaamua kufanya hivyo lakini jaji amekataa kutoa idhini ya haya kufanyika.
Maarufu
Makala maarufu