Afrika
Mashambulizi ya wanamgambo wa kijeshi katikati mwa Sudan yaua angalau watu 40 — daktari
Mashambulizi ya hivi punde katika mfululizo wa mashambulizi ya mwezi mzima kwenye vijiji vya Al-Jazira, yaliyofanywa na RSF, ni kufuatia kuasi kwa kamanda muhimu wa wanamgambo na kujiunga na jeshi mwezi uliopita.Afrika
Trump anapojiandaa kurejea White House, Afrika inastahili kutazamwa kwa mara ya pili
Pamoja na idadi yake ya vijana, maliasili na uchumi unaokua, bara hili liko tayari kuchukua nafasi kubwa katika jukwaa la ulimwengu. Uchina na Urusi zinaendelza ushawishi wao, licha ya mbinu ya zamani ya Marekani, inayozingatia usalama.Afrika
Jinsi wanyamapori wanaofuatiliwa barani Afrika walivyopungua kwa 76% katika miaka 50
Ripoti ya 2024 ya ''Living Planet'' ya Shirika la Kimataifa la Hifadhi ya Wanyamapori (WWF) inafichua 'mfumo ulio hatarini' huku Afrika ikikabiliwa na hatua hatari zisizoweza kurekebishwa kutokana na upotevu wa asili na mabadiliko ya hali ya hewa.
Maarufu
Makala maarufu