Mwezi mtukufu wa Ramadhan umeanza leo Alhamisi. Mfungo wa Ramadhan hudumu kwa saa 12 hadi saa 18 ikitegemea maeneo mbali mbali duniani.
Kwa hiki kipindi waislamu hajizuia kula chakula, maji na vitendo vya ngono
Fahamu muda wa mfungo na saa za kufuturu za inchi mbali mbali
Kifungo cha chukuwa ma saa 15 na dakika huko Iceland na huko Greenland kifungo cha chukuwa ma saa 15 na dakika 21.
Huko Urussi waislamu wafanya kifungo cha ma saa 14 na dakika 37
Huko Uingereza wafanya kifungo cha ma saa 14 kabla yakupata iftar
Uturuki wafunga kwa ma saa 13 na dakika 53 kabla wapate iftar
Huko China wa Islam wangoja tabriban ma saa 13 na dakika 52 ndo wapate iftar.
Huko Pakistan wafunga kwa ma saa 13 na dakika 43
Kwa majirani wa Hindi wafunga kwa ma saa 13 na dakika 37
Huko Australia wafunga mwezi wa Ramadan kwa muda saa 13 na dakika 35
Huko mfungo nchini Argentina na Afrika Kusini itachukua saa 13 na dakika 34
Watu watafunga kwa saa 13 na dakika 17 huko Marekani
Watu watafunga mwezi wa Ramadan kwa mda wa ma saa 13 na dakika 33
Huko Nigeria mfundo utachukua saa 13 na dakika 24 huku Malaysia utadumu kwa saa 13 na dakika 23.
Indonesia ikiwa na idadi kubwa ya Waislamu kote duniani mfungo utadumu kwa saa 13 na dakika 22.