Türkiye
Ulaya inafahamu umuhimu wa Uturuki baada ya kuzuka kwa migogoro ya kimataifa: Hakan Fidan
Sera ya mambo ya nje isiyo ya kawaida ya Rais wa Marekani Donald Trump imeyasukuma mataifa kufikiria upya ushirikiano na kukabiliana na mienendo mipya, huku Uturuki ikiibuka kuwa "mshirika wa kutegemewa na mwenye nguvu".Türkiye
Uturuki yaishukia jarida la The Economist 'kwa kupotosha taarifa za mahakama' na kumlaumu Erdogan
"Jarida la The Economist limemshtumu Rais Erdogan kwa kupotosha taarifa kuhusu kesi na uchunguzi zinazoshughulikiwa na mahakama huru za Uturuki –– jarida hilo likikaa kimya kwa miezi yote kuhusu mauaji ya halaiki na kikatili huko Gaza" asema Altun.Türkiye
Jukwaa la WIC: Daraja la biashara la Uturuki na Afrika
Toleo la 12 la Jukwaa la Viwanda la Ushirikiano kati ya Sekta ya Dunia huko Istanbul lilionyesha jinsi kushirikiana na Uturuki kumesaidia biashara za Kiafrika kujenga mwelekeo wa ukuaji ambao umezaa biashara ya thamani ya dola bilioni 37.Türkiye
Hakuna nguvu inayoweza kuwalazimisha Wapalestina kuondoka katika nchi yao
"Hakuna aliye na uwezo wa kuwaondoa watu wa Gaza kutoka katika nchi yao ya milele, Palestina, ikiwa ni pamoja na Gaza, Ukingo wa Magharibi, na Jerusalem Mashariki, ni mali ya Wapalestina," anasema Recep Tayyip Erdogan.
Maarufu
Makala maarufu