Ulimwengu
Futari ya Biden yasusiwa... maandamano nje ya Ikulu ya White House
Mualiko wa futari wa Biden kusherehekea mwezi mtukufu wa Ramadhan wasusiwa, huku vikundi vya Waislamu vinasusia na kuandaa maandamano ya kupinga uungaji mkono wa Biden kwa kuzingirwa kwa Gaza na vita vya kikatili vya Israeli dhidi ya Gaza.
Maarufu
Makala maarufu