Afrika
Benki ya Dunia yaitaka Uganda kutotumia fedha za Uviko 19 katika mambo mengine
Bohari Kuu ya Madawa nchini Uganda iliharibu chanjo za Uviko 19, dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs) na vifaa vya majaribio vilivyokwisha muda wake, zenye thamani ya zaidi ya dola milioni 86, katika mwaka wa fedha 2023/24.
Maarufu
Makala maarufu