Maoni
Athari zinazotokana kufuatia mizizi ya ukoloni ya polisi wa Ufaransa na Raia wasio na hatia
Mauaji ya kikatili ya polisi yanazidi kushika hatamu na yanachochea ghasia nchini Ufaransa, na kufichua historia yenye mizizi ya chuki ya kimfumo ya Uislamu na ubaguzi wa rangi ndani ya jeshi la polisi la Ufaransa.
Maarufu
Makala maarufu