Türkiye
Erdogan aikosoa Marekani kwa kuwakandamiza waandamanaji kwenye vyuo vikuu
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yameingia siku ya 209 huku yakiua Wapalestina 34,596, asilimia 70 wakiwa wanawake na watoto wadogo. Zaidi ya watu 77,816 wamejeruhiwa na wengine zaidi ya 10,000 wanahofiwa kufukiwa kwenye majengo yalioharibiwa.Ulimwengu
Mauaji Gaza yafikia 21,500 kufuatia mashambulizi ya Israel
Vita vya Israeli dhidi ya Gaza iliyozingirwa vilivyoingia siku ya 84 vimesababisha vifo vya Wapalestina wasiopungua 21,507 na kujeruhi 55,915 huku Tel Aviv ikiendelea kupiga mabomu miji na kambi za wakimbizi katika eneo dogo la Palestina.Ulimwengu
Israel inaendelea kushambulia Gaza huku mazungumzo yakiendelea
Vita vya sasa vya Israel dhidi ya Gaza iliyozingirwa - sasa katika siku yake ya 7 - vimesababisha Wapalestina wasiopungua 18,800 kuuawa na kujeruhi wengine zaidi ya 51,000, huku maelfu wakihofiwa kuuawa chini ya vifusi vya majengo yaliyolipuliwa.
Maarufu
Makala maarufu