- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Mashambulizi Ya Israel Gaza
Matokeo ya 6 yanayohusiana na Mashambulizi Ya Israel Gaza yanaonyeshwa
Türkiye
Maandamano ya halaiki Istanbul yaonyesha mshikamano na Palestina mwaka ukianza
Maelfu wamekusanyika katika swala ya asubuhi katika misikiti na kuanza kutembea kwa pamoja kuelekea Daraja la Galata, kukiwa na ushiriki wa takriban asasi za kiraia 400 kwa lengo la kutaka kusitishwa kwa mauaji ya halaiki yanayoendelea Palestina.Afrika
Imam wa msikiti New Jersery afariki baada ya kupigwa risasi nje ya msikiti Marekani
Imamu Hassan Sharif alipigwa risasi mara kadhaa baada ya saa kumi na mbili alfajiri nje ya msikiti wa Muhammad-Newark, maafisa wanasema, katika kuongezeka kwa mashambulio dhidi ya waislamu Marekani tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israeli Gaza.
Maarufu
Makala maarufu