Afrika
Rais wa DRC Félix Tshisekedi, asema yuko tayari kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame
Viongozi hao wawili, Félix Tshisekedi na Paul Kagame wamekuwa wakitofautiana juu ya mashambulio ya waasi wa M23 Mashariki mwa DRC yaliyowaua mamia ya watu na kuwahamisha zaidi ya milioni moja tangu 2021.
Maarufu
Makala maarufu