Afrika
Kilio cha Sudan cha kutaka amani na uponyaji mwaka wa 2025
Sudan, iliyokumbwa na vita vya miezi 20 ambavyo vimegharimu maisha ya watu 60,000 na kuwakimbia zaidi ya watu milioni 14, imesalia kuwa janga la kibinadamu ambalo halijatambuliwa mwaka uliopia huku mizozo mingine ya kimataifa ikichukua nafasi kubwa.Afrika
Mashirika ya kibinadamu yaionya dunia kuhusu njaa Sudan
Takwimu zinaonyesha kuwa mzozo wa Sudan umelazimisha idadi kubwa ya watu kuhama makazi yao. Zaidi ya watu milioni 11 wamehamishwa nchini humo, na wengine milioni tatu wanatafuta hifadhi nchini Chad, Misri, Sudan Kusini na mataifa mengine jirani.Afrika
Mashambulizi ya wanamgambo wa kijeshi katikati mwa Sudan yaua angalau watu 40 — daktari
Mashambulizi ya hivi punde katika mfululizo wa mashambulizi ya mwezi mzima kwenye vijiji vya Al-Jazira, yaliyofanywa na RSF, ni kufuatia kuasi kwa kamanda muhimu wa wanamgambo na kujiunga na jeshi mwezi uliopita.
Maarufu
Makala maarufu