Afrika
Sultan Mehmed II alivyoikomboa Istanbul miaka 571 iliyopita
Mei 29, 1453, jiji la Istanbul lilianguka kutoka dola ya Byzantine na kutwaliwa na dola ya Ottoman iliyokuwa ikiongozwa na Sultan Mehmed au Fatih Mehmet yaani ‘mfunguzi’ kwa kiarabu, na kuifanya dola hiyo kuwa yenye nguvu zaidi duniani.Türkiye
Rais Erdogan aadhimisha kumbukumbu ya miaka 571 ya ushindi wa Istanbul
Rais wa Uturuki Erdogan anatoa uwiano kati ya "azimio" la enzi ya Sultan Mehmet na matarajio ya kisasa, akipendekeza kwamba roho hiyo hiyo ya "ustahimilivu na imani" inaongoza Uturuki kuelekea malengo yake ya baadaye, haswa "Karne ya Kituruki"Türkiye
Katika Picha: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Uturuki, waashiria ukomavu wa demokrasia ya taifa
Raia wa Uturuki wanashiriki katika mchakato wa kidemokrasia kwa namna pekee sana, kutoka kwa wazee wanaopiga kura zao katika vituo vya kupigia kura ndani ya nyumba za wazee hadi wapiga kura waliovalia kitamaduni.Türkiye
Vizuizi katika akili ya ulimwengu lazima viondolewe: Mkurugenzi Mkuu wa TRT
Sobaci, akishutumu vyombo vya habari vya kimataifa kwa kujaribu "kuhalalisha mauaji ya Israeli", Mkurugenzi Mkuu wa TRT Mehmet Zahid Sobaci anadai "muuaji hawezi kugeuzwa kuwa mhasiriwa, wala mhasiriwa kugeuzwa muuaji."Türkiye
Uturuki yaandaa mkutano wa STRATCOM jijini Istanbul
Rais wa Uturuki, Waziri wa Mambo ya Nje na Mkurugenzi wa Mawasiliano, miongoni mwa wengine, watahudhuria mkutano huo wa siku mbili utayofanyika chini ya kauli mbiu, Mapambano ya Kimataifa Dhidi ya Vitisho vya Mseto: Utulivu, Usalama, Mshikamano.
Maarufu
Makala maarufu