Ulimwengu
Wapalestina waliokimbia makazi yao huko Gaza warejea nyumbani
Maelfu ya Wapalestina huko Gaza wakiwa wamebeba mahema, nguo na mali zao za kibinafsi walionekana wakirejea majumbani mwao, baada ya zaidi ya miezi 15 ya vita vya kikatili vilivyosababisha idadi kubwa ya wakazi wa eneo hilo kufurushwa.Ulimwengu
Vifo vya Wapalestina katika vita vya Israel dhidi ya Gaza vyafikia 46,565
Mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza - sasa katika siku yake ya 464 - yameripotiwa kuua zaidi ya Wapalestina 46,565 na kujeruhi wengine 109,660. Nchini Lebanon, Israel imewauwa watu wasiopungua 4,063 tangu Oktoba 2023.
Maarufu
Makala maarufu