Afrika
Afya ya akili: Jinsi filamu inasaidia watu kutoka kwenye hali ngumu
Filamu inayoangazia mapambano ya mwanamke mdogo kukubaliana na maisha yake ya nyuma inatumiwa kama kiegezo wa kupambana na unyanyapaa kwa wanaotafuta msaada wa kutokana na kiwewe ndani ya jamii zilizoathiriwa na migogoro kaskazini mwa Nigeria.Ulimwengu
Waigizaji waliidhinisha kandarasi ya miaka mitatu, na kumaliza msukosuko wa wafanyakazi wa Hollywood
Wanachama wa chama cha waigizaji wa SAG-AFTRA walipitisha mkataba wa miaka mitatu na studio kubwa siku ya Jumanne, rasmi wakimaliza mgogoro wa kazi wa Hollywood uliodumu miezi sita ambao ulisitisha uzalishaji wa filamu na tamthilia nchini
Maarufu
Makala maarufu