Türkiye
Uturuki "yakata makali" magaidi 162 wa PKK/YPG nchini Iraq na Syria: Rais Erdogan
"Uturuki haitaruhusu kamwe kuanzishwa kwa njia ya ugaidi kando ya mipaka yake," Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alisema, na kuongeza kwamba "mapambano ya Ankara dhidi ya ugaidi yataendelea kwa azimio kamili."Maisha
Jinsi shule za Maarif zilivyoiweka Uturuki katika mioyo ya waafrika
Uturuki ilichukua hatua ya kuokoa ndoto za mamilioni ya watoto waliokuwa kwenye hatari ya fikra za kigaidi za kundi la FETO lililochafua mazingira ya elimu katika nchi mbalimbali tangu mwaka wa 1990, ilipoanzisha operesheni zakeTürkiye
FETO: Ni kundi gani lililo nyuma ya jaribio la mapinduzi yaliyofeli ya 2016 nchini Uturuki ?
Shirika la Kigaidi la Fethullah (FETO) limekuwa likifanya kazi kwa miongo kadhaa likipenyeza baadhi ya taasisi za Uturuki na kuwa na mitandao nje ya nchi, lakini ushawishi wake umepungua tangu jaribio lake la mapinduzi lililofeli mnamo Julai 15, 2016
Maarufu
Makala maarufu