Michezo
Timu za Afcon 2023 Kamili: Cameroon na Namibia wakamilisha jumla ya timu 24
Mabingwa mara 5 Cameroon na Namibia wamejiunga na timu 22 zilizofuzu awali ikiwemo wenyeji Cote D'ivoire na kukamilisha timu zitakazotua droo itakayofanyika Abidjan tarehe 12 Oktoba 2023 kabla ya kombe hilo litakalofanyika Januari mwaka ujaoMichezo
AFCON: Orodha ya nchi 23 zilizofuzu ngarambe za Ivory Cost
Moja kati ya Namibia, Burundi au Cameroon itafuzu kutoka kundi C lenye timu tatu, na kukamilisha orodha ya timu 24. Kundi hili limekuwa na utata kwani timu zote zina nafasi sawa ya kufuzu huku Cameroon na Burundi zikichuana tarehe 12 Septemba
Maarufu
Makala maarufu