Watu wenye silaha wawaua wakulima 9 kaskazini mwa Nigeria

Watu wenye silaha wawaua wakulima 9 kaskazini mwa Nigeria

Tukio limetokea katika eneo la Birnin Gwari katika Jimbo la Kaduna
Tukio limetokea katika eneo la Birnin Gwari katika Jimbo la Kaduna / picha: Maktaba AFP

Watu wenye silaha wawaua wakulima 9 kaskazini mwa Nigeria, shirika la anodolu linaripoti

Tukio limetokea katika eneo la Birnin Gwari katika Jimbo la Kaduna, ambalo limekuwa likikabiliwa na mashambulizi kutoka kwa magenge ya watu wenye silaha siku za hivi karibuni

Watu hao wenye silaha wamewaua wakulima tisa kaskazini mwa Nigeria, vyombo vya habari vya ndani pia viliripoti siku ya Jumapili.

Jumla ya watu 214 walipoteza maisha na 746 walitekwa nyara katika mashambulizi yaliyotekelezwa kati ya Januari na Machi mwaka huu.

AA