Ulimwengu
Mpango wa mwisho wa kikatili wa Netanyahu unalenga mustakabali bila Wapalestina
Katika kukabiliana na ukosoaji mkubwa wa kimataifa, Israeli inazidisha mashambulizi yake ya kijeshi nchini Lebanon, ikiendeleza ukatili wake wa mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina na hata kuzidisha mashambulizi dhidi ya Wahouthi nchini Yemen.Ulimwengu
Droni yadunguliwa Bahari ya Shamu; makombora yagonga kaskazini mwa Israeli
Vita vya Israel dhidi ya Gaza, vilivyo katika siku yake ya 359 sasa, vimesababisha vifo vya Wapalestina 41,586. Zaidi ya hayo, zaidi ya watu 700 wameuawa tangu Septemba 23 katika mashambulizi makubwa ya Israeli kote Lebanon.Afrika
Houthi: Tulitumia 'silaha mpya' kuzamisha meli ndani ya Bahari Nyekundu
Mashambulizi ya Israeli katika eneo la Gaza yameingia siku ya 258 yakiwa yameua Wapalestina 37, 396, wengi wakiwa ni akina mama na watoto wadogo, na kujeruhi 85,523, huku zaidi ya watu 10,000 wakihofiwa kufukiwa na vifusi.Ulimwengu
Vyombo vya habari vya Houthi vinaripoti kuwa mashambulizi ya US na UK dhidi ya bandari kuu ya mafuta ya Yemen
Vita vya kikatili vya Israel dhidi ya Gaza - sasa katika siku yake ya 113 - vimewaua Wapalestina 26,083 na kujeruhi 64,487, mamlaka inasema, huku ICJ ikiweka hai kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israeli.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu