Afrika
Kwa nini Afrika inakerwa na Marekani kuhusu viti vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Kuna mgogoro unaoibuka kuhusu mamlaka ya juu ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa 'Big Five' na kususia kuipa Afrika uanachama wa kudumu na kura ya turufu licha ya masuala ya bara hilo kuchangia asilimia 60-70 ya masuala kwenye ajenda.Ulimwengu
Marekani yapinga ombi la Palestina la kutaka uanachama kamili wa Umoja wa Mataifa
Marekani ilikataa ombi la Wapalestina lililopiganiwa kwa muda la kutaka uanachama kamili wa Umoja wa Mataifa, na kupinga hatua ya Baraza la Usalama licha ya kuongezeka kwa masikitiko ya kimataifa juu ya hali mbaya ya kibinadamu huko Gaza
Maarufu
Makala maarufu