Türkiye
Uturuki "yakata makali" magaidi 162 wa PKK/YPG nchini Iraq na Syria: Rais Erdogan
"Uturuki haitaruhusu kamwe kuanzishwa kwa njia ya ugaidi kando ya mipaka yake," Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alisema, na kuongeza kwamba "mapambano ya Ankara dhidi ya ugaidi yataendelea kwa azimio kamili."
Maarufu
Makala maarufu