Ulimwengu
Meta yaondoa filamu ya TRT Arabi kuhusu mauaji ya Israel ya waandishi wa habari
Filamu ya Televisheni ya Uturuki ya "Uandishi wa Habari Chini ya Mauaji ya Kimbari," ambayo inafichua uhalifu wa kijeshi wa Israel dhidi ya waandishi wa habari, ilifutwa kwenye Facebook, na kuzua utata kuhusu sera za Meta.Ulimwengu
UN yatoa wito wa uchunguzi wa kuaminika kuhusu shambulio la timu ya TRT kule Gaza
Vita vya Israeli dhidi ya Wapalestina maeneo ya Gaza — sasa vikiwa siku yake ya 189 — vimeua takribani Wapalestina 33,545 na kujeruhi wengine 76,094 huku Baraza la Usalama la UN likishindwa kufikia makubaliano kuhusu ombi la Palestina la uanachamaTürkiye
Uturuki yailaani Israel kwa shambulio lenye kulenga wanahabari
Israel inapigana vita dhidi ya ukweli kwa "kukusudia, kulenga" waandishi wa habari, anasema Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Uturuki Altun kufuatia shambulizi la kifaru lililojeruhi wanahabari kadhaa wakiwemo wale wa kituo cha TRT Arabi.Ulimwengu
Mpiga picha wa TRT Arabi apoteza mguu katika shambulio jipya la Gaza
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yamefikia siku ya 189, na kuua wapalestina 33,545 huku 76,094 wakiwa wamejeruhiwa, wakati Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likishindwa kuafikiana kuhusu ombi la Palestina kupata uanachama wa chombo hicho.
Maarufu
Makala maarufu