Afrika
Shirika la Utangazaji la Uturuki TRT laandaa 'usiku wa Palestina Ramadhan'
"Hivi karibuni, Israel itakuja kubaini kwamba haiwezi kuwepo kupitia damu za watoto wasio na hatia," amesema Mkurugenzi Mkuu wa TRT Mehmet Zahid Sobaci, akizungumza katika shughuli ya “Usiku wa Palestina Mwezi wa Ramadhan” mjini Istanbul
Maarufu
Makala maarufu