- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Tetemeko La Ardhi
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Tetemeko La Ardhi yanaonyeshwa
Ulimwengu
Vifo vya tetemeko la ardhi la Japan vyafika 62 huku manusura wakikabiliwa na hali mbaya ya hewa
Idadi ya watu waliofariki kutokana na tetemeko kubwa la ardhi Japan inazidi kuongezeka huku mamlaka zikiharakisha kuleta msaada kwa walionusurika wanaokabiliwa na baridi kali na utabiri wa mvua kubwa.Afrika
Serikali ya Morocco yalaumiwa kwa kukataa baadhi ya misaada
Watu wengi wamelazimika kulala nje kwa siku ya nne huku waokoaji kutoka Uhispania, Uingereza na Qatar wakisaidia timu za utafutaji za Morocco. Italia, Ubelgiji na Ujerumani zimesema bado zinasubiri kuidhinishwa ofa zao kuja kusaidia.
Maarufu
Makala maarufu