Afrika
Mashirika ya kibinadamu yaionya dunia kuhusu njaa Sudan
Takwimu zinaonyesha kuwa mzozo wa Sudan umelazimisha idadi kubwa ya watu kuhama makazi yao. Zaidi ya watu milioni 11 wamehamishwa nchini humo, na wengine milioni tatu wanatafuta hifadhi nchini Chad, Misri, Sudan Kusini na mataifa mengine jirani.Afrika
Mashambulizi ya wanamgambo wa kijeshi katikati mwa Sudan yaua angalau watu 40 — daktari
Mashambulizi ya hivi punde katika mfululizo wa mashambulizi ya mwezi mzima kwenye vijiji vya Al-Jazira, yaliyofanywa na RSF, ni kufuatia kuasi kwa kamanda muhimu wa wanamgambo na kujiunga na jeshi mwezi uliopita.Afrika
Siku ya Watoto Duniani: Watoto waathirika zaidi na vita vya Sudan
Huku dunia ikiadhimisha Siku ya Watoto Duniani, nchini Sudan mashirika ya huduma ya matibabu yanasema kuwa watoto wanazidi kuletwa katika vituo vya matibabu wakiwa na majeraha kutokana na vita vinavyoendela nchini humo tangu 2023.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu