Türkiye
Uturuki imekanusha madai ya uwongo ya kombora lake kutumiwa na jeshi la Israel huko Gaza
Kituo cha Uturuki cha Kupambana na Taarifa potofu kinakanusha madai kuwa makombora yaliyotengenezwa na Uturuki yanayotumiwa na jeshi la Israel huko Gaza, kikisisitiza hakuna biashara ya silaha kati ya Uturuki na Israel.
Maarufu
Makala maarufu