Afrika
Liberia: Kiongozi wa upinzani Boakai amzidi George Weah kwa kura, lakini hati hati uchaguzi kurudiwa
Kutokuwa na mshindi wa wazi kati ya Rais George Weah na Makamu wa Rais wa zamani Joseph Boakai kwenye kinyang'anyiro cha urais, baada ya asilimia 92.82% ya kura kuhesabiwa, inadokeza kuwa raia wa Liberia watarejea kupiga kura
Maarufu
Makala maarufu