Ulimwengu
Raia wa Bosnia anasimulia tena hadithi za imani na ujasiri kutoka kwa mauaji ya halaiki ya Srebrenica
Jinsi maisha ya mtoto wa Bosnia wa miaka sita, asiyekuwa na hatia yalisambaratika aliposhuhudia familia yake nzima ikiangamizwa akiwa amejificha kwenye pipa. Haya hapa masimulizi ya kutisha yaliyotokea wakati Waserbia walianza mauaji ya kikabila.
Maarufu
Makala maarufu